Search This Blog

Monday, May 31, 2021

Ujerumani yaanzisha uchunguzi kwenye vituo vya kupima Covid-19


Uchunguzi umeanzishwa nchini Ujerumani juu ya madai ya udanganyifu katika vituo vya kupima virusi vya corona (Covid-19) ambapo vipimo vya haraka hufanywa bila malipo.

Kulingana na ripoti kwenye vyombo vya habari vya Ujerumani, vituo vingine vya kupima vilionyesha idadi ya vipimo walivyoripoti kwa mamlaka husika zaidi ya vile vilivyokuwa halisi.

Katika ripoti hiyo, ilisemekana kwamba baadhi ya vituo vya kupima katika miji ya Cologne, Münster na Essen na katika jimbo la Bavaria viliwasilisha idadi ya vipimo kwa mamlaka husika bila kutoa ushahidi wowote na kupokea pesa kutoka kwao.

Ilielezwa kuwa baada ya kutokea kwa tukio hilo, ofisi ya mwendesha mashtaka ilianzisha uchunguzi dhidi ya watu kadhaa kwa tuhuma za udanganyifu.

Waziri wa Afya wa Ujerumani Jens Spahn alisisitiza kwamba vituo vya kupima vinapaswa kuchunguzwa na mamlaka za afya za serikali za mitaa na kusema,

"Serikali ya shirikisho inaweka mfumo, inatunga sheria na inalipa gharama, lakini serikali haiwezi kukagua mitandao ya vipimo kwenye tovuti."

Spahn aliongezea kusema kuwa atajadili suala hilo na mawaziri wa afya wa serikali.




Urusi yatangaza kuanzisha mawasiliano ya kisiasa na Jumuiya ya Ulaya


Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergey Lavrov alisema kuwa wakati umefika wa kuanzisha mawasiliano "ya kisiasa" na Jumuiya ya Ulaya (EU).

Lavrov alitoa maelezo hayo katika hotuba yake kwenye mkutano juu ya uhusiano kati ya Urusi na EU ulkiofanyika katika mji mkuu wa Moscow ambapo alisema,

"Hali ni ngumu sana. Bara la Ulaya linakabiliwa na mzozo mkubwa wa uaminifu. Njia za kugawanya mashariki zinachorwa."

Akiashiria kuwa nchi za Magharibi hazizingatii kanuni za sheria za kimataifa, Lavrov alisema kuwa Urusi na washirika wake waliingilia kati mambo yao ya ndani.

Akitetea kwamba EU inajitenga na Urusi, Lavrov alielezea kuwa wako tayari kuanzisha ushirikiano kwa "uaminifu" na "usawa" na EU.

Lavrov pia alisema,

"Hii haimaanishi kwamba hatutachukua hatua mpya zisizo za urafiki, kujaribu kushirikiana kinguvu, na kuingiliwa katika maswala yetu ya ndani."

Akionyesha kwamba mawasiliano ya kiufundi yanahifadhiwa katika kiwango cha tume kati ya Urusi na EU juu ya maswala kadhaa, Lavrov aliongezea kusema,

"Tunadhani wakati umefika wa kuanzisha mawasiliano ya kisiasa."



IGP Sirro afanya mabadiliko kwa baadhi ya makamanda




 

Kikosi cha simba kuanza safari leo kuwafuata Ruvu Shooting

 


KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Juni Mosi kinatarajiwa kukwea pipa kuelekea Mwanza kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. 

Simba itawafuata Ruvu Shooting ikiwa na kumbukizi ya kunyooshwa bao 1-0 walipokutana Uwanja wa Uhuru.

Ilikuwa ni zama za Sven Vandenbroeck ambapo nahodha John Bocco katika mchezo huo alikosa penalti na kiungo wao mzee wa kukera Bernard Morrison alipigana na beki kisiki wa Ruvu Shooting,  Juma Nyosso.

Kutokana na kitendo hicho walipigwa faini ya laki tano pamoja na kufungiwa mechi tatu bila kucheza na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kwa mujibu wa kanuni.

Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na vita ya timu zote kupigania hesabu zao ambapo Ruvu Shooting wanahitaji kumaliza ndani ya tano bora na Simba inapigia hesabu ubingwa.

Kwenye msimamo Simba ina pointi 64 ikiwa nafasi ya kwanza inakutana na Ruvu Shooting yenye pointi 37 nafasi ya 10.

Unatarajiwa kuchezwa Juni 3, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza



Ulaya yataka majibu madai ya udukuzi wa Marekani na Denmark


Mataifa kadhaa ya Ulaya yametaka kupatiwa majibu kufuatia ripoti kuwa Marekani iliwapeleleza viongozi wa ngazi ya juu wa nchi hizo washirika kwa kutumia miundombinu ya mawasiliano ya Denmark kati ya mwaka 2012 hadi 2014.

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa wamesema kwa pamoja kuwa kuendesha ujasusi miongoni mwa mataifa washirika ni jambo lisilokubalika na kuwa wanataraji kupata ufafanuzi kutoka Washington na Copenhagen.

Matamshi hayo ya kutaka majibu yanafuatia ripoti ya uchunguzi iliyorushwa siku ya Jumapili na vyombo vya habari barani Ulaya ambayo imefichua kuwa taasisi ya usalama wa taifa ya Marekani NSA ilitumia mifumo ya mawasiliano ya Denmark kuwapeleleza wanasiasa wa ngazi ya juu nchini Ufaransa, Ujerumani, Norway na Sweden.

Inaarifiwa kuwa NSA ilifanikiwa kudukua mawasiliano ya ujumbe mfupi, mazungumzo ya simu na hata matumizi ya intaneti ikiwemo ya kansela Angela Merkel wa Ujerumani na viongozi wengine wakuu wa serikali.

Rais Macron ambaye jana alifanya mkutano kwa njia ya video na Kansela Merkel amesema hakuna nafasi kwa washirika wa Ulaya na Marekani kutiliana mashaka na ndiyo maana ni muhimu kwa Washington kufafanua kile kilichotokea.

"Hili halikubaliki miongoni mwa washirika na kwa hakika halikubaliki kabisa baina ya washirika wa Ulaya. Ninaongozwa na msingi wa kuaminiana ambao unatuunganisha watu wa Ulaya na Marekani, kwa namna hiyo tunafanya kila kitu kwa usalama wa pamoja na hakuna nafasi ya kutiliana wasiwasi baina yetu." amesema Macron.

Kwa upande wake kansela Merkel amesema anaunga mkono mtazamo huo wa rais Macron na kwamba ametiwa moyo na hakikisho lililotolewa na waziri wa ulinzi wa Denmark Trine Bramsen kuwa analaani matendo yote ya washirika kufanyiana ujasusi na upelelezi.

Bramsen ambaye aliteuliwa kuongoza wizara hiyo ya ulinzi mwaka 2019 badohajathibitisha au kukanusha ripoti hiyo inayoihusisha Denmark na upepelezi lakini amekaririwa akisema vitendo hivyo havikubaliki.

Mbali ya Ujerumani na Ufaransa mataifa jirani na Denmark pia yametaka ufafanuzi.

Waziri Mkuu wa Norway Erna Solberg amelaani tabia ya mataifa rafiki kufanyiana upepelezi na kuitaka serikali mjini Copenhagen kuweka wazi taarifa zote ilizonazo za madai yaliyofichuliwa.

Sweden nayo imesema inafanya mawasiliano ya karibu na Denmark ikinuwaia kuuliza iwapo miundombinu ya nchi Denmark imekuwa ikitumika kuwafuatilia wanasiasa wa Sweden.

Hata hivyo hadi sasa haijawa wazi iwapo Denmark ilifahamu kuwa Marekani ilikuwa ikitumia miundombinu yake ya mawasiliano ya chini ya bahari kuyapeleleza mataifa jirani.

Wizara ya mambo ya kigeni ya Marekani na Taasisi ya NSA zote bado hazijatoa maelezo kuhusiana na madai hayo.

Hii haitokuwa mara ya kwanza kwa Marekani kutuhumiwa kuwapeleleza viongozi na wanasiasa wa Ulaya na maeneo mengine duniani.

Iwapo madai haya ya sasa yatathibitishwa itakuwa ni dhahiri kuwa kwa Washington kila mtu au taifa ni mlengwa wa operesheni zake za kijasusi na udukuzi.



Tetesi yza soka kimataifa

 


Chelsea wako tayari kumsajili tena mshambuliaji wa Inter Milan Rumelu Lukaku msimu huu wa joto huku klabu hiyo ya Italia ikiwa imejiandaa kusikiliza ofa kwa ajili ya Mbelgiji huyo wa miaka 28 (Mail)

Manchester United wamekubaliana masharti binafsi na Jadon Sancho, 21, lakini bado hawajatoa zabuni rasmi kwa winga huyo wa Borussia Dortmund na England.(Sport 1, via Star)

Thomas Tuchel yuko karibuni kusaini mkataba mpya baada ya kuiongoza Chelsea kunyakua taji la ligi ya mabingwa, huku Mjerumani huyo akitarajiwa kupatiwa mkataba wa mpaka mwaka 2023. (Guardian)

Tottenham wanafanyia kazi uteuzi wa Antonio Conte kama kocha sambamba na Mkurugenzi wa michezo wa zamani wa Juventus Fabio Paratici kama mkurugenzi wa mchezo wa mpira . (Sport Italia, via Express)

Tottenham pia wanapanga uhamisho wa kushtukiza wa mlinzi wa Chelsea Mjerumani Antonia Rudiger, 28, ingawa wanaweza kukutana na ushindani kutoka Paris St-Germain. (Mirror)

Arsenal itapaswa kuwalipa Real Madrid kiasi cha euro milioni 60 kwa ajili ya kiungo wa kati wa Norway Martin Odegaard,22, ambaye wana mpango wa kumpa mkataba wa kudumu baada ya kucheza kwa mkopo. (Defensa Central-in Spanish)

Kiungo wa kati wa Arsenal Granit Xhaka, 28, amesema ameshawishiwa na kocha wa Roma Jose Mourinho kujiunga na klabu yake lakini ana furaha kusalia kwenye klabu ya London. (Blick, via Goal)

Mshambuliaji wa Argentina Paulo Dybala anajiandaa kufanya mazungumzo mapya kuhusu mkataba mpya na Juventus, huku kocha mpya Massimiliano Allegri akiwa na lengo la kumpata mchezaji huyo mwenye miaka 27 kwa mkataba wa muda mrefu baada ya kurejea Turin. (Goal)

Kiungo wa kati wa Atletico Madrid Mhispania Saul Niguez, 26, atashinikiza kuhamia Manchester United mbele ya Juventus au Paris St-Germain katika dirisha la usajili la majira ya joto (Mirror)

Kiungo wa Uholanzi Gini Wijnaldum, 30, bado hajakwenda Barcelona na anasema bado anaiaga Liverpool (ESPN Netherlands via Liverpool Echo)

Mlinzi Thiago Silva anajiandaa kusalia Chelsea kwa msimu mwingine baada ya mchezaji huyo, 36, kuisaidia timu yake kupata ushindi wa ligi ya mabingwa. (Evening Standard)

Hatua ya Arsenal kumchukua mshambuliaji wa Ureno mwenye umri wa miaka 18 wa Sporting Lisbon Tiago Tomas iko katika mizani baada ya Gunners kushindwa kufuzu Uropa. (Sun)

Mshambuliaji wa Villarreal Mhispania Gerard Moreno, 29, anazivutia West Ham, Newcastle na Roma. (Calciomercato-in Italian)

Mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa Tottenham Serge Aurier,28, amesema anajiandaa kuachana na klabu hiyo, msimu huu wa joto huku PSG na AC Milan zikiwa timu zinazovutiwa na mchezaji huyo. (L'Equipe)

Watford wanataka kumsajili mshambuliaji Eddie Nketiah , lakini Arsenal wanataka pauni milioni 15 kwa ajili ya Muingereza huyo, ambaye amebakisha mwaka mmoja wa mkataba wake na Arsenal (Sun)



MAGAZETI YA LEO 1.6.2021


 



















KWA NINI WANAUME WENGI WANAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO

                    



Kundi kubwa la wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la


ndoa kutokana na kuwa na uume mdogo kupita kawaida.


Wanaume walio na tatizo hili wengi wao huwa hawana confidence ya


kuingia katika mahusiano na wasichana ama wanawake wanao


fahamiana nao kutokana na kuogopa " siri" zao kujulikana hususani


pale uhusiano wao unapofika mwisho.


CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO.NA KUSINYAA (Kibamia)


_SABABU


1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu..Hali hii


husababisha kusinyaa kwa uume na hatimaye uume


kurudi ndani.


2. Kuugua chango la uzazi.


3. Magonjwa ya utotoni.


4. Kutahiriwa mapema


5. Unene kupita kiasi


6. Magonjwa ya ngiri 


7. Kukaa sehem za baridi 


TIBA

Kama uume umesinyaa au uko mdogo sana Tumia dawa ya Mchanganyiko wa dawa 9 za asili  za unga na mafuta  


Tunakuhakikishia kama umeshakata tamaa jaribu hii hakika utafurahia huduma dawa hii ni ya kuulejesha uume kwenye Hali yake ya hawali na Kama tatizo ni la kuzaliwa basi dawa hii haiwezi kuuongeza ni mpaka tatizo liwe limetokea ukubwani


Upungufu wa nguvu za kiume ni neno la jumla amabalo linaunganisha sehemu zifuatazo kwa mwanaume ,


Hizi ni kama dalili za upungufu wa nguvu za kiume kwa mwanaume 


1.Kuwahi sana kufika mshindo /kileleni mapema 


2.Kushindwa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara Moja 


3.Kupungua au kukosa kabisa hamu ya tendo LA ndoa 


4.Uume kusimama kwa ulegevu sana 


5.Maumivu ya mgongo, kiuno na nyonga kiujumla


JE KWANINI NGUVU ZA KIUME ZINAPUNGUA ?AU MPAKA KUISHA KABISA


Sababu za kupungukiwa nguvu za kiume 


1. Kujichua kwa muda mrefu (musterbation)


     Husababisha mishipa ya uume kulegea hasa (pelvic muscle) mshipa mkuu amabao huruhusu kuziba au kuachia manii (mbegu)


_hii hupelekea mtu kuwahi kufika kileleni


Pia uume kushindwa kusimama imara (kwa ulegevu)


2.Magonjwa ya Kisukari na presha 


3.magonjwa ya ngiri (hernia)


5.Ulaji mkubwa wa vyakula vya mafuta mengi .


6.Uchovu ,kuchoka sana pia na mawazo kwa wingi (stress)


7.Ulevi ,,unywaji wa pombe ,uvutaji sigara ,madawa ya kulevya ,na aina nyingine za vilevi


8.Matumizi ya vidonge wakati wa tendo (Viagra)


JE TIBA YAKE NI NINI ?

Tumia dawa iliyothibitishwa na Baraza la tiba asiri Tanzania (TZ 17TM0023) iitwayo (MJN)heshima /dume ,


Dawa hii  inatoa matokeo 99%  na 1% ndo jitihada zako binafsi


INA maliza na tatizo LA kujichua, kukaza mishipa iliyolegea  kama umejichua muda mrefu ,unawahi kufika kileleni, kukosa hamu ya TENDO LA ndoa


Ni tunzu herbal clinic pekee wanaotoa tiba bora kwa kuzingatia tatizo+chanzo cha tatizo+dalili zake


JE UNASUMBULIWA NA UGONJWA WA KISUKARI


(MTN) ni dawa ya kisukari dawa hii imidhibitisha na Baraza la tiba asiri Tanzania ni salama kwa mtumiaji no ya usajili ni (TZ 17TM0023 dawa hii ni ya vidonge na unga pia imesaidia wonjwa wengi Sana jaribu kutumia leo huone utofauti na dawa ulizowah kutumia


NAPATIKANA MBAGARA SABASABA KARIBU NA SHULE YA ST ANTHONY'S UTAONA BANGO OFISINI LIMEANDIKWA TUNZU HERBAL CLINIC ,MWANZA TUPO MLANGOMMOJA


piga simu 0714448999 Whatsapp +255714448999


MIKOANI KWINGINEKO TUTAKUTUMIA KWA BUS DERIVERY IN 12_24HRS 


ZANZIBAR KWA BOAT ZA AZAM EXPRESS , TAHADHARI WAPO WATU WANAELEKEZA KUWA WANAOFISI MBAGARA SABASABA EPUKA KUTAPELI OFISI IPO MOJA TU



TANGAZO: TUNAAGIZA MAGARI NAKUKOPESHA

            


Kampuni yetu inaitwa Bin Khalifa motors company limited.


Tunahusika kuuza gari used, Pia tunaagiza gari kutoka japan na uingereza.


Pia tunakopesha magari unalipa asilimia 60% nyingine unalipia kwa miezi minne.


Vile vile tunatoa ushauri wa kitaalam kuhusu magari.


Ofisi zetu zipo magomeni mapipa nyuma ya bank ya diamond trust bank 


Tunapatikana kwa namba 0718228825 / 0758228825 / 0784228825 instagram @bin khalifa motors co ltd







Watu 177 mbaroni kwa uhalifu mbalimbali Mara


Na Timothy Itembe Mara.

Watu 177 wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa kipolisi Tarime Rorya kwa makosa mbalimbali ya kiuhalifu ikiwemo kuingia nchini bila kipali.

Akiongea na waandishi wa habari kamanda mkoa wa kipolisi Tarime Rorya,William Mkonda aliwaambia kuwa katika msako unaoendelea wa Jeshi la polisi wamefanikiwa kuwakamata watu 177 kwa matukio tofauti tofauti ikiwemo kuingia nchiuni bila kibali.

"Katika Oporesheni inayoendelea Jeshi la polisi Tarime/Rorya wamefanikiwa kukamata watuhumiwa 177 kutokana na makosa mbalimbali kupatikana kwa gongo(pombe haramu) lita 741 pamoja na mitambo mitatu na watuhumiwa 44 walikamatwa,kukamatwa kwa pikipiki 16 na wizi ambapo watuhumiwa 16,walikamatwa kwa wizi wa mifugo 17 na Ng'ombe 18 kuokolewa,kupatikana kwa Bangi kilo 403.9 n watuhumiwa 20,kupatikana kwa mirungi kilo 40 na watuhumiwa 4 walikamatwa,kukamatwa,kungia nchini bila kibali ambapo watuhumiwa 6 walikamatwa na kukamatwa kwa watuhumiwa 70 na makosa ya unyang'anyi'uvunjifu na wizi  pamoja na vifaa vya kuvunjia"alisema Mkonda.

Jeshi la polisi Tarime'Rorya limejipanga vizuri kukabiliana na uhalifu na matishio ya aina yoyote bila kuwa na mhali na mtu yeyote atakaye vunja au kukiuka sheria za nchi aliongeza kusema Mkonda.

Wakati huo huo mkuu wa kikosi cha usalama barabarani(RTO) Shaal Shaal alisema jeshi la polisi wanaendelea kutoa elimu ya uraia pamoja na ya usalama Barabarani kwa watumiaji ili kupunguza vifo vitokanavyo na Ajali barabarani kama sio kuisha kabisa.

Shaal aliongeza kuwa katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia Machi Mei ajali za pikipiki zilikuwa 3 na majeruhi 2 idadi ya ajali za magari zilikuwa 8 idadi ya vifo vitokanavyo na magari 4 na majeruhi 15.

Mkuu huyo alimaliza kwa kusema kuwa polisi wanawawekea madereva alama katika leseni zao kwa kupunguza point na kuwafungia leseni zao kwa madereva wanaofanya makosa makubwa ambayo ni hatarishi.



Wahalifu wawateka nyara watoto nchini Nigeria


Watu wenye silaha wamefanya shambulizi na kuwateka nyara watoto kadhaa kutoka shule moja ya kiislamu iliyopo kwenye jimbo la Niger katikati mwa Nigeria. 

Serikali ya jimbo hilo imesema watoto 200 walikuwepo shuleni wakati wa uvamizi huo lakini idadi kamili ya wanafunzi waliochukuliwa mateka bado haijulikani. 

Msemaji wa polisi ya jimbo Niger Waisu Abiodun amesema washambuliaji waliwasili eneo la shule kwa pikipiki na kuanza kufyetua hovyo risasi zilizosababisha kifo cha mkaazi mmoja na kumjeruhi mwingine.

 Mmoja wa maafisa wa shule hiyo amesema awali washambuliaji waliwateka nyara watoto 100 lakini baadaye waliwarudisha wale wenye umri kati ya miaka 4 hadi 12. 

Kwa muda mrefu sasa makundi ya watu wenye silaha yanaendesha ukatili kaskazini magharibi mwa Nigeria kwa kufanya uporaji wa mali, mifugo na kuteka watu nyara.



Wanamgambo 10 wa Boko Haram waangamizwa nchini Nigeria

 


Wanamgambo 10 wa kundi la Boko Haram waliangamizwa katika operesheni dhidi yao iliyotekelezwa nchini Nigeria.

Msemaji wa jeshi Mohammed Yerima alisema katika taarifa kwamba jeshi lilizuia jaribio la shambulizi la Boko Haram katika mkoa wa Rann, jimbo la Borno.

Akibainisha kuwa magaidi 10 waliuawa katika operesheni dhidi ya Boko Haram baada ya kuzuia shambulizi hilo, Yerima alisema kuwa magaidi wengi walikimbia wakiwa wamejeruhiwa.

Yerima pia alisema kuwa silaha na idadi kubwa ya risasi pamoja na mali za magaidi zilikamatwa.



Mbunge ashauri wabunge kujengewa nyumba zao


Mbunge wa Namtumbo Vita Kawawa, ameishauri serikali kujenga nyumba Jijini Dodoma ambazo watawekeana mkataba wa miaka mitano na mbunge atakayekuwepo na iwapo ikitokea mbunge haendelei tena kuwa mbunge hiyo basi nyumba hiyo atakaa mbunge mpya atakayekuja.

Kawawa ametoa ushauri huo hii leo Mei 31, 2021, Bungeni Dodoma, wakati wa kipindi cha maswali na majibu ambapo swali lake alililelekeza Wizara ya Ujenzi juu ya umuhimu wa kujenga nyumba kwa ajili ya wabunge, ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. Mwita Waitara, aliahidi kuufanyia kazi ushauri huo.

"Kwanini serikali isijenge nyumba ambazo watakuwa wanaweka mkataba kwa wabunge kila baada ya miaka mitano ambao wanaendelea, wataendelea kukaa kwenye nyumba hizo lakini ambao watakuwa hawaendelei basi wabunge wapya watakaa kwenye hizo nyumba," ameuliza Mbunge Kawawa.




Chombo cha dola hakipaswi kumuadhibu mtuhumiwa


Wakili maarufu nchin Jebra Kambole amesema vyombo vyenye mamlaka nchini hususan vyombo vya dola havina mamlaka yakumfanyia mtu kama wanavyotaka pindi wanapomtia hatiani kwani kuna sheria ambazo zinaeleza taratibu zinaposwa kufuatwa.

Wakili Kambole ameeleza hayo katika mahojiano na Kipindi cha Supa Breakfast ambapo amesema kitendo kilichofanywa na askari wa Uhamiaji kwa mtuhumiwa kupitia video zilizosambaa mtandaoni  kuwa hakikuzingatia utu na wala haki kwa mujibu wa sheria.

“Watu wana viheshimu vyombo vyenye mamlaka na wao kwakuwa wanaheshimiwa hawapaswi kumfanyia mtu ndivyo sivyo, kuna vitu vimetendeka katika tukio hilo mimi naona havipo sawa mtuhumiwa angeweza kusema naomba mnichukulie hatua au apelekwe mahakamani,” amesema Wakili Kamabole.

“Hakuna chombo cha dola kinachoweza kuamua kumtesa mtu wanavyotaka wao, kama kuna mtu kafanya kosa la jinai utaratibu upo kwenye sheria zetu, ukisema kila mtu ajichukulie sheria mkononi hii nchi haiwezi kutawalika,” ameongeza Wakili Kamabole.

Pia Wakili Kambole akielezea haki ambazo mtuhumiwa anazokuwa nazo pindi anapokamatwa na vyombo vya dola amesema mtuhumiwa ana haki ya kutokutweza utu wake.

“Unapokamatwa na vyombo vyenye mamlaka una haki ya kuwasiliana na ndugu yako, mawakili juu ya kukamatwa kwako, una haki ya kutibiwa na kujieleza unapokuwa kwenye vyombo vya dola lakini una haki ya kutopigwa wala kutweza utu wako,” amsema Wakili Kamabole.



Yanga yathibitisha kuachana na Carlinhos

 Kiungo Mshambuliaji wa Kimataifa wa Angola na Klabu ya @yangasc , Carlos Sténio Fernandes do Carmo maarufu kama Carlinhos amevunja Mkataba na Klabu ya Yanga

Uongozi wa Klabu ya Yanga umethibitisha kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na mchezaji Carlinhos kufuatia ombi la mchezaji huyo alilowasilisha kwa uongozi wa Klabu hiyo na baada ya majadiliano na kwa kuzingatia maslahi mapana ya pande zote

Carlinhos alijiunga na Yanga Mwezi Agosti , 2020 akitokea Interclube ya Angola





Israel yakaribia kupata serikali mpya bila Netanyahu


Mwanasiasa anayependelea sera za kizalendo nchini Israel Naftali Bennet amesema jana kuwa atajiunga na juhudi za kuunda serikali ya muungano itakayomuondoa madarakani waziri mkuu Benjamin Netanyahu. 

Akizungumza baada ya kukutana na wajumbe wa chama chake cha Yamina, Bennet amesema atafanya kila linalowezekana kuunda serikali ya umoja wa kitaifa na kiongozi wa upinzani nchini humo Yair Lapid.

 Lapid ana muda wa hadi Jumatano inayokuja kufanikisha uundaji wa muungano wa vyama utakaokuwa na wingi wa viti bungeni kumwezesha kuunda serikali mpya. 

Wabunge wa Israel wanaompinga waziri mkuu Netanyahu na chama chake cha Likud wamekuwa kwenye majadiliano mazito ya kuunda muungano baada ya uchaguzi wa mwezi Machi kushindwa kutoa mshindi wa moja kwa moja wa kuunda serikali.



MIZIZI 29 POWER NI DAWA BORA NA IMALA YA KUTIBU TATIZO LA KUISHIWA NGUVU ZA KIUME KAMA VILE KUSHINDWA KURUDIA TENDO NA KUKOJOA MAPEMA

              


Tatizo hili limekuwaasili watu wengi,sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine, kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi 6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo zipo , sababu nyingi zinazosababisha, tatizo hilo baadhi ni


(i) upungufu wa vichocheo vya, HORMONES ZA CETROGEN ambazo mwanaume, anapobarehe vichocheo hivi, HORMONES hizo, husaidia ukuaji wa uume


 (MNYONYO MIX ) ni dawa yenye mchanganyiko wa mafuta kadha pamoja na dawa asiri inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume kukuwa na kuongzeka sazi iliyokuwepo mwanzo dawa hii aiongezi uume kwa mtu aliyezaliwa uume wake ukiwa mfupi


 (MIZIZI 29) ni dawa bora, ya kurudisha nguvu, za, kiume  inatibu ,kabisa na  kutoa tatizo hilo, na kukupa , hamu ya , kurudia tendo, la ndoa zaidi, ya mala nne 3 ,bila kuchoka atakama unaumli ,wa mika 80,! 


ISENYE hii ni dawa ya kisukari dawa hii ni ya mimea  asili ipo ya vidonge na unga dawa hii imeonyesha matokeo mazuri Sana kwa wagonjwa wa kisukari jaribu Leo hakika uweze kuona utofauti wake na dawa ulizowah kutumia pia ana dawa za kutibu presha ya kupanda na kushuka kuondoa mafuta  mwilini na maumivu ya mgogo kiuno dawa zipo matazo ya hedhi kwa wanawake hedhi zisizokuwa na mpangilio vidonda vya tumbo.


huduma zetu zipo vizuri popote pale dawa utaletewa hata Kama hupo nnje ya nchi ofisi ipo mbagara sabasaba MWANZA yupo wakala


Wasiliana nami kwa simu 0782794980 Whatsapp +255782794980



MAGONJWA NINAYO TIBU NI KISUKARI, TEZI DUME, NGUVU ZA KIUME

                                 


DOCTOR MBOJE,


NI MTAFITI NA MGUNDUZI WA TIBA ASILI YENYE KUTIBU MAGONJWA SUGU NA MWENYE OFU YA MUNGU ANATOBU NA KUPONA KABISA UNABAKI NA ISTORIA


MAGONJWA NINAYO TIBU NI 


A,_DOCTOR MBOJE,


NI MTAFITI NA MGUNDUZI WA TIBA ASILI YENYE KUTIBU MAGONJWA SUGU NA MWENYE OFU YA MUNGU ANATOBU NA KUPONA KABISA UNABAKI NA ISTORIA


MAGONJWA NINAYO TIBU NI 


A,_KISUKARI na tibu kwa miti shamba  kunywa na kupona kabisa


B,_TEZI DUME_natibu kwa miti  kunywa na kupona kabisa bila kufanyiwa upasuaji


C,_NGUVU ZA KIUME 

  Kwa wale wenye upungufu wa nguvu za kiume na wasio kua nazo kabisa natibu kwa miti shamba na kupona kabisa


D,_kutibu magonjwa mbalimbali Kama uzazi) (miguu kuvimba na kuwaka Moto) (Tumbo kujaa gesi na kupata choo ngumu) (mgongo,   kiuno)


MHERA JIGURHU ni dawa ya miti shamba inatibu kisukari na kupona kabisa kwa mda wa siku 16 

Sukari iwe kubwa kabisa lakini iwe normal 5.1  


NNKOROBHIJE ,ni dawa ya miti shamba inayotibu  TEZI DUME bila kufanyiwa operation na kupona kabisa kwa siku 14 na kibaki history 


NHUNGHU MAPANDO Kwa wale wenye upungufu wa nguvu za kiume na wasio kua nazo kabisa au kama unahisi kupungukiwa tumia nhunghu mapando ni dawa inatibu na kupona kabisa tatizo kwa mda wa siku 4 tu


 NTURURU ni dawa ya miti shamba inayotibu uzazi chango kwa wakina mama wasio kua na watoto inatibu na kumaliza tatizo kabisa na mfumo wako wa Heath Kama umevulugika inatibu kwa mda wa siku 18


MWICHE,ni dawa ya miti shamba inayotibu Tumbo kujaa gesi na kupata choo ngumu kurunguia kiuno kuuma mgongo na kupona kabisa kwa mda wa siku 7


PIIA UNAWEZA KUNIPATA KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA 

CALL AND WHAT SAAP

+255744922982

+255737585753 


HUDUMA ZANGU ZINAPATIKANA DUNIA NZIMA KWA OFISI NI DAR ES SALAAM NA MOROGORO KWA ULIE MBALI DAWA NAKUSAFIRISHIA MPAKA INAKUFIKIA KWA WALE WA DAR NA MOROGORO KAMA HUWEZI KUFIKA OFISINI NAKUAGIZIA DAWA INAKUFIKIA MPAKA ULIPO na tibu kwa miti shamba  kunywa na kupona kabisa


B,_TEZI DUME_natibu kwa miti  kunywa na kupona kabisa bila kufanyiwa upasuaji


C,_NGUVU ZA KIUME 

  Kwa wale wenye upungufu wa nguvu za kiume na wasio kua nazo kabisa natibu kwa miti shamba na kupona kabisa


D,_kutibu magonjwa mbalimbali Kama uzazi) (miguu kuvimba na kuwaka Moto) (Tumbo kujaa gesi na kupata choo ngumu) (mgongo,   kiuno)


MHERA JIGURHU ni dawa ya miti shamba inatibu kisukari na kupona kabisa kwa mda wa siku 16 

Sukari iwe kubwa kabisa lakini iwe normal 5.1  


NNKOROBHIJE ,ni dawa ya miti shamba inayotibu  TEZI DUME bila kufanyiwa operation na kupona kabisa kwa siku 14 na kibaki history 


NHUNGHU MAPANDO Kwa wale wenye upungufu wa nguvu za kiume na wasio kua nazo kabisa au kama unahisi kupungukiwa tumia nhunghu mapando ni dawa inatibu na kupona kabisa tatizo kwa mda wa siku 4 tu


 NTURURU ni dawa ya miti shamba inayotibu uzazi chango kwa wakina mama wasio kua na watoto inatibu na kumaliza tatizo kabisa na mfumo wako wa Heath Kama umevulugika inatibu kwa mda wa siku 18


MWICHE,ni dawa ya miti shamba inayotibu Tumbo kujaa gesi na kupata choo ngumu kurunguia kiuno kuuma mgongo na kupona kabisa kwa mda wa siku 7


PIIA UNAWEZA KUNIPATA KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA 

CALL AND WHAT SAAP

+255744922982

+255737585753 


HUDUMA ZANGU ZINAPATIKANA DUNIA NZIMA KWA OFISI NI DAR ES SALAAM NA MOROGORO KWA ULIE MBALI DAWA NAKUSAFIRISHIA MPAKA INAKUFIKIA KWA WALE WA DAR NA MOROGORO KAMA HUWEZI KUFIKA OFISINI NAKUAGIZIA DAWA INAKUFIKIA MPAKA ULIPO



Mshukiwa wa utapeli wa mamilioni ya pesa akiwa Marekani kufikishwa mahakamani Kenya


Stacey Marie Parker anatuhumia kuwatapelli Wakenya mamilioni ya fedha huku akidai watapata faida zaidiImage caption: Stacey Marie Parker anatuhumia kuwatapelli Wakenya mamilioni ya fedha huku akidai watapata faida zaidi

Mwanamke anayeshukiwa kuwa ndiye msimamizi wa mpango wa utapeli ambao ulitumiwa kuwalaghai Wakenya mamia ya mamilioni ya pesa amekamatwa mwishoni mwa wiki na atafikishwa mahakamani leo.

Stacey Marie Parker mwenye umri wa miaka 50, alikamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jumamosi alipowasili kutoka Marekani.

Mshukiwa alikamatwa kufuatia uchunguzi ulioendeshwa na idraa ya makosa ya Jinai nchini Kenya baada ya kuhusishwa na sakata hiyo ya ulaghai iliyopora pesa wawekezaji ambao hawakujua kwamba wanahadaiwa.

Katika mpango ulioratibiwa na kupangwa vizuri, wawekezaji walidanganywa kuwekeza pesa zao katika programu ya mtandaoni inayojulikana kama Amazon Web Worker, kwa kudhani kuwa watapata faida kubwa ya hadi 38% kwa amana inayodumu kwa siku 7 tu.

Kumbi za mitandao ya kijamii zilikuwa zimejaa matangazo yaliyowashawishi Wakenya kujiunga na mpango huo ili wapate faida .

Wakenya wasio ambao hawakujua kwamba mpango huo ulikuwa utapeli walipakua programu kwa wingi na wakasajiliwa huku wengi wakiweka amana zao. Wengine waliwapeleka wapendwa wao , watoto na marafiki wa karibu kwenye mpango huo, kwa nia ya kupata utajiri wa haraka.

Hadi wakati programu hiyo ilipofutwa kutoka mtandaoni bila taarifa kwa wawekezaji , ndipo wawekezaji walipogundua walikuwa wamedanganywa.

Walishtuka kujua kwamba programu hiyo haikuhusishwa kwa njia yoyote na Amazon, kampuni ya teknolojia ya kimataifa iliyo nchini Marekani Programu hiyo ilizama na amana zenye thamani ya mamia ya mamilioni ya pesa .






Carlinhos amevunja mkataba na klabu yake ya Yanga

 


IMEELEZWA kuwa Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo maarufu kama Carlinhos amevunja mkataba na klabu yake ya Yanga.

Sababu ya nyota huyo kuamua kuvunja mkataba wake huo ni kutokana na matizo ya kifamilia jambo ambalo limefanya aombe kusepa.

Pia nyota huyo alikuwa anasumbuliwa na majeraha jambo ambalo limemfanya ashindwe kuonyesha makeke yake kwenye mechi nyingi za ligi pamoja na Kombe la Shirikisho.

Mchezo wake wa mwisho kuonekana uwanjani ilikuwa ni wa Kombe la Shirikisho, Uwanja wa Nelson Mandela wakati ubao uliposoma Tanzania Prisons 0-1 Yanga.

Alikuwa akitibu majeraha ya nyama za paja ambayo aliyapata kwenye mchezo huo na hakuweza kumaliza dakika zote 90.



Wanafunzi 14 waliotekwa nyara kutoka chuo kikuu cha kibinasi nchini Nigeria waachiliwa


Wanafunzi 14 waliotekwa nyara na watu wenye silaha kutoka chuo kikuu cha kibinafsi mnamo Aprili 20 katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria, wameachiliwa.

Kamishna wa Usalama wa Ndani na Mambo ya Ndani wa Jimbo la Kaduna Samuel Aruwan alitangaza kuachiliwa kwa wanafunzi 14 waliotekwa nyara kutoka Chuo Kikuu cha kibinafsi cha Green Field.

Aruwan ambaye hakutoa taarifa zaidi juu ya namna wanafunzi hao walivyoachiliwa, alieleza kuwa wasilishwa kwa familia zao.

Watu wenye silaha waliwateka nyara wanafunzi 19 katika shambulizi la Chuo Kikuu cha kibinafsi cha Green Field mnamo Aprili 20. Wanafunzi watano kati ya yao walipatikana wakiwa wamekufa karibu na chuo mnamo Aprili 23.

Gavana wa jimbo la Kaduna, Nasir Ahmad al-Rufai, alitangaza kwamba hatalipa fidia iliyodaiwa kwa ajili ya kuachiliwa kwa wanafunzi.




Wananchi Njombe waaswa kujikita kwenye shughuli za ufugaji


MKUU wa Wilaya ya Njombe Ruth Msafiri amewataka Wananchi wa mkoa wa Njombe na Tanzania kwa ujumla kuingia kwenye shughuli za ufugaji kwa sababu unalipa na hautumii muda mwingi wa mfugaji.

Msafiri ameyasema hayo leo (30.05.2021) shambani kwake baada ya kutembelewa na timu ya wataalam kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Wawakiloshi wa mradi wa utafiti wa malisho unaozingatia utunzaji wa Mazingira  (CIAT) na wafugaji na wazalishaji wa malisho kutoka mikoa ya Njombe, Tanga na Kilimanjaro  .

“Mfano mimi hapa kila mwezi kwa ng’ombe jike niliyenaye hapa nina uhakika shilingi 200,000 na zaidi kwa mwezi na kinyesi cha ng’ombe hawa natumia kama mbole kwenye mashamba yangu ambayo tangu nianze ufugaji sijawahi kutumia mbolea za kisasa” 

Aidha Msafiri amebainisha ukosefu wa soko la uhakika la maziwa kama moja ya changamoto zinazowakabili wafugaji mkoani Njombe ambapo amesema kuwa bei ya lita moja ambayo viwanda vinanunua maziwa kwa wafugaji ipo chini ulilinganisha na bei iliyopo mtaani.

Akizungumzia kuhusu uhimilishaji Msafiri ameisifia teknolojia hiyo kwa kurahisisha upatikanaji wa ng’ombe bora na wa kisasa ambapo aliiomba Wizara kupeleka wataalam wa kutosha wa teknolojia hiyo hasa kwenye ngazi ya kata wanakopatikana wafugaji wengi.

“Bado wataalam wetu kwa upande wa hii teknolojia ni wachache na hata mimi hapa kwangu ng’ombe ameingia joto mara mbili lakini  mtaalam ni mmoja na anatoka mbali hivyo kila akifika hapa anakuwa amechelewa na hapo natakiwa kusubiri tena mwezi mwingine” alisisitiza Msafiri.

Kwa upande wake kiongozi wa timu ya wataalam wa mradi wa “CIAT” An Notenbaert mbali na kufurahishwa na kazi nzuri iliyofanywa na wanifaika wa mradi huo, amewapongeza wafugaji wa Mkoa wa Njombe waliowezeshwa na mradi huo kwa kazi kubwa waliyofanya ambapo alimpa zawadi ya mbegu za malisho ya “brachiaria” aina ya kobra, mulato II na Cayman Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri baada ya kuvutiwa na jitihada zake katika tasnia ya ufugaji kwa ujumla.

Akizungumza kuhusu umuhimu wa ziara hiyo, Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo (TALIRI) Dkt. jonas Kizima amesema kuwa ni lazima wafugaji wabadilike na kutambua kuwa ufugaji wa ng’ombe wengi bila kutenga maeneo ya kuzalisha malisho hauna tija na unasababisha migogoro baina ya wafugaji na watumiaji wengine wa Ardhi.

“Wafugaji ni lazima wajue kuwa ili ng’ombe aweze kuzalisha maziwa kwa wingi anapaswa kupewa malisho bora na ndio maana unaona wakati wa kiangazi uzalishaji wa maziwa hupungua hadi asilimia 50 kwa sababu wafugaji wengi hutegemea malisho yanayostawi wakati wa masika hivyo sasa ni lazima tubadilike kwa sababu haya malisho pia imeshakuwa ni biashara nzuri sana hata kwa mtu asiyefuga” Amesisitiza Dkt. Kizima

Kwa upande wa mmoja wa wafugaji waliotembelewa na timu hiyo, Juliana Mlagala amesema kuwa ziara hiyo imemuongezea tija baada ya kujifunza mambo mbalimbali ambayo alikuwa akikosea hapo awali.

“Ufugaji kwangu ndio kila kitu kwa sababu ninasomesha watoto na kufanya shughuli zote za maendeleo na leo nimejifunza zaidi kuwa sisi wafugaji hatupaswi kugeuza mifugo yetu kama dhamana ya kukopa bali tuitumie kupata fedha ambazo zitatufanya tukidhi mahitaji yetu” alihitimisha Mlagala.

Ziara hiyo itaendelea katika mikoa ya Tanga na Kilimanjaro ambapo imejikita kuweka mkazo zaidi katika suala zima la uzalishaji malisho ya mifugo.



Maelfu ya watu waandamana kuunga mkono Palestina mjini Washington nchini Merikani


Maelfu ya watu walifanya maandamano ya kuunga mkono Palestina katika mji mkuu wa Washington nchini Merikani (USA).

Maelfuya watu walikusanyika mbele ya uwanja wa makumbusho wa Lincoln Monument, moja ya alama ya mji mkuu wa Washington, na kubeba mabango na bendera za Palestina wakiashiria kuunga mkono Palestina.

Kwa kuongezea, waandamanaji walitoa kaulimbiu za "Uhuru wa Palestina" na "Palestina itakuwa huru siku moja".

Mbali na Waislamu wa Marekani, Raia wa Kimarekani wenye asili ya Kiafrika, Wazungu pamoja na Wayahudi wa Orthodox pia walishiriki katika maandamano hayo.

Mashirika kadhaa ya Waislamu yaliunga mkono maandamano hayo, ambayo mamia ya watu kutoka majimbo tofauti pia walishiriki kwa mabasi.

Mamia ya bendera za Wapalestina zilizofunguliwa katikati ya Mnara wa Washington na Lincoln Monument, iliunda picha za kupendeza.

Mashambulizi yaliyozinduliwa mnamo Mei 10 na Israel kwenye Ukanda wa Gaza uliozingirwa, yalimalizika saa 02:00 kwa saa za kawaida mnamo Mei 21, kulingana na usitishaji mapigano uliofikiwa na Hamas.

Wakati wa mashambulizi ya Israel huko Gaza, Wapalestina 254, kati yao wakiwemo watoto 66 na wanawake 39, walipoteza maisha na watu 1,484 walijeruhiwa.




Jumuiya ya Africa Magharibi (ECOWAS) yaivua Mali uanachama


Kanali Goïta aliambiwa aendeshe uchaguzi mwezi Februari mwaka ujaoImage caption: Kanali Goïta aliambiwa aendeshe uchaguzi mwezi Februari mwaka ujao

Jumuiya ya Africa Magharibi Ecowas wameiondoa Mali katika uanachama wa Jumuiya hiyo kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika nchini humo wiki iliyopita -yakiwa ni ya pili katika kipindi cha miezi tisa.

Kiongozi wa mapinduzi na ambaye sasa ni Kanali Assimi Goïta, alihudhuria mkutano katika mji mkuu wa Ghana, Accra.

Waziri wa mambo ya nje wa Ghana Shirley Ayorkor Botchwey aliwambia waandishi wa habari kwamba jumuiya hiyo imeitolea wito Mali kumteua Waziri Mkuu mpya raiamara moja, ili kuheshimu kipindi cha mpito cha miezi 18na kufanya uchaguzi wa rais mwezi Febriari.

Ghana ilisema utulivu wa Mali ni muhimu ili Afrika Magharibi iweze kudhibiti harakati za ugaidi katika kanda hiyo.

Kanal Goïta alinyakua mamlaka baada ya kuamuru kukamatwa kwa Rais Bah Ndaw na waziri mkuu Moctar Ouane.






Tetesi za soka kimataifa

 


Chelsea wako tayari kumsajili tena mshambuliaji wa Inter Milan Rumelu Lukaku msimu huu wa joto huku klabu hiyo ya Italia ikiwa imejiandaa kusikiliza ofa kwa ajili ya Mbelgiji huyo wa miaka 28 (Mail)

Paris St-Germain wana nia ya kuendelea kubaki na Mauricio Pochettino kama kocha wa klabuhiyo wakati Real Madrid wakijiunga na Tottenham katika kumnasa mkufunzi huyo. (Mirror)

Kiungo wa kati wa Arsenal Granit Xhaka ,28, amesema anashawishiwa na kocha wa Roma Jose Mourinho, lakini ana furaha kuichezea klabu ya jijini London. (Blick via Goal).

Mshambuliaji wa Argentina Paulo Dybala anajiandaa kufanya mazungumzo mapya na Juventus, huku kocha mpya Massimiliano Allegri akiwa na shauku na mustakabali wa kudumu na mchezaji huyo, 27, baada ya kurejea Turin. (Goal)

Kiungo wa kati wa Atletico Madrid Mhispania Saul Niguez, 26, atashinikiza kuhamia Manchester United mbele ya Juventus au Paris St-Germain katika dirisha la usajili la majira ya joto (Mirror)

Kiungo wa Uholanzi Gini Wijnaldum, 30, bado hajakwenda Barcelona na anasema bado anaiaga Liverpool (ESPN Netherlands via Liverpool Echo)

Mlinzi Thiago Silva anajiandaa kusalia Chelsea kwa msimu mwingine baada ya mchezaji huyo, 36, kuisaidia timu yake kupata ushindi wa ligi ya mabingwa. (Evening Standard)

Hatua ya Arsenal kumchukua mshambuliaji wa Ureno mwenye umri wa miaka 18 wa Sporting Lisbon Tiago Tomas iko katika mizani baada ya Gunners kushindwa kufuzu Uropa. (Sun)

Mshambuliaji wa Villarreal Mhispania Gerard Moreno, 29, anazivutia West Ham, Newcastle na Roma. (Calciomercato-in Italian)

Mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa Tottenham Serge Aurier,28, amesema anajiandaa kuachana na klabu hiyo, msimu huu wa joto huku PSG na AC Milan zikiwa timu zinazovutiwa na mchezaji huyo. (L'Equipe)



Mchezaji wa Crystal Palace ya na Ufaransa Mamadou Sakho, akubali kuwa balozi wa Utalii Tanzania


Mchezaji wa timu ya mpira wa miguu wa Kilabu ya Crystal Palace inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza (EPL) na Mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa amekubali ombi la Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kuwa Balozi wa hiyari wa utalii wa Tanzania.

Mamadou Mamadou Sakho amekubali ombi hili wakati alipokutana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TTB, Betrita Lyimo katika Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro.

Mamadou Sakho amekuwa Tanzania kwa ziara ya mapumziko pamoja na familia yakeImage caption: Mamadou Sakho amekuwa Tanzania kwa ziara ya mapumziko pamoja na familia yake

Mamadou ambaye ni raia wa Ufaransa amekuwa nchini Tanzania tarehe kwa mapumziko ya siku 10 akiwa ameambatana na familia yake ambapo alitemebelea maeneo ya utalii nchini humo ikiwa ni pamoja na Hifadhi ya wanyama ya Serengeti.






Hussein Machozi ajibu madai ya kuolewa Italy

 


Msanii Hussein Machozi ameikataa kauli ya watu wanaomsema amefungiwa ndani na mwanamke nchini Italy huku wengine wakimwambia kwamba yeye ndio ameolewa na mwanamke huyo.

 Hussein Machozi amesema watanzania wanapenda sana maneno hasa wakiona mtu anaishi nje ya nchi au kupata mwanamke aliyemzidi kipato.

"Watanzania wakiona mtu amepata mwanamke mwenye pesa utaambiwa umeolewa, Ben Pol aliambiwa kaolewa na mwanamke Mkenya na Dogo Janja nae aliambiwa ameolewa na Irene Uwoya, hawajui mtu ametoka nae wapi wanasema ameolewa, mimi nilienda Ulaya kwa mambo yangu" ameeleza Hussein Machozi

"Hakuna mwanaume anayeolewa wanaume wote wanaoa, Mtanzania huwa hataki kuona mtu anafanikiwa, maneno yao huwa wanayatoa  Instagram wanaamini mtu akienda Ulaya anaenda kuishi vizuri" ameongeza

Msanii huyo amekuwa akiishi nchini Italy kwa kipindi cha miaka 7 ambapo amefanikiwa kupata mwanamke na mtoto mmoja wa kike.



Wambura aula ndani ya siku 13, ateuliwa kuwa DCI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Camilius Wambura, na kuwa Kamishna wa Polisi (CP) ambapo pia amemteua kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI). 

Taarifa ya uteuzi huo imetolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa, na kueleza kuwa uteuzi huo umeanza jana Mei 30, 2021.

Mei 17, 2021, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, alimhamisha Wambura kutoka kuwa 'Chief of Operations Upel' kuu Dodoma na kumhamishia Dar es Salaam kuwa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum akichukua nafasi ya SACP Lazaro Mambosasa.



Mali yasimamishwa uanachama wa ECOWAS kutokana na mapinduzi



Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi ECOWAS wametangaza kusimamisha uachama wa Mali baada ya jeshi la nchi hiyo kufanya mapinduzi ya pili ndani ya miezi tisa.

Uamuzi huo wa kuchukulia hatua dhidi ya Mali umefikiwa na kutangazwa wakati wa mkutano wa dharura wa kanda ya ECOWAS uliofanyika jana Jumapili mjini Accra nchini Ghana.

Viongozi wakuu 10 na mawaziri wa mambo ya kigeni 3 wa mataifa wanachama wa Ecowas walihudhuria mkutano huo na katika tamko la mwisho wamesema wana wasiwasi mkubwa na hali ya usalama kwenye eneo la Afrika Magharibi kutokana na kile kinachoendelea nchini Mali.

Kupitia taarifa kuhusu maazimio ya mkutano huo iliyowasilishwa na waziri wa mambo ya kigeni wa Ghana Shirley Attorkor uanachama wa Mali utasitishwa hadi Februari 2022 ambao ni muda uliopangwa kwa taifa hilo kufanya uchaguzi na madaraka kukabidhiwa kwa serikali ya kiraia itakayochaguliwa kidemokrasia.

Viongozi hao wa ECOWAS wameutumia mkutano wao kulaani kwa matamshi makali mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa Jumatatu iliyopita nchini Mali na kutoa rai ya kurejeshwa kwa utawala wa kiraia haraka iwezekanavyo.

Zaidi kuhusu hilo waziri wa mambo ya kigeni wa Ghana Shirley Attorkor amesema ''Moja ya maamuzi ya wakuu wa nchi ni kwamba ni lazima katika siku chache zijazo wateue waziri mkuu asiye mwanajeshi atakayeunda serikali. Serikali ya mpito kwa kipindi kilichosalia, kwa maana wamebakisha miezi nane tu, ambao ni muda wa mwisho waliopewa"

Muda huo wa mwisho ndiyo mnamo Februari 2022 kutakapoitishwa uchaguzi na ECOWAS imesema viongozi watakaounda serikali ya sasa ya mpito hawataruhusiwa kuwania katika uchaguzi huo wa mwakani.

Licha ya kupendekeza hatua kadha za kuchukuliwa hivi sasa, Jumuiya ya ECOWAS haijasita kulinyooshea kidole cha lawama jeshi la Mali kwa kurejesha nyuma juhudi za kuleta uthabiti kwenye taifa hilo.

Juhudi hizo ni pamoja na makubaliano yaliyofikiwa Septemba mwaka uliopita, kiasi mwezi mmoja tangu jeshi lilipofanya mapinduzi ya kwanza yaliyoongozwa na Kanali Assimi Goita ambaye sasa ndiye rais wa mpito wa Mali baada ya kufanyika mapinduzi mengine wiki iliyopita.

Viongozi hao wanajumuisha rais wa mpito aliyelazimishwa na jeshi kuondoka madarakani Bah N'Daw na waziri mkuu wake Moctar Ouane ambao wote wamewekwa kwenye kizuizi cha nyumbani tangu kutokea mapinduzi.

Pamoja na hali ya wasiwasi inayoendelea, viongozi wa ECOWAS wamehimiza wadau wa kimataifa ikiwemo Umoja wa Afrika, Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya kuendelea kuiunga mkono Mali kufanikisha utekelezaji wa kipindi cha mpito.

Mapinduzi ya kijeshi ya wiki iliyopita mabayo yalichochewa na mabadiliko yaliyofanywa na rais wa mpito ambayo yaliwaondoa makamanda wa jeshi kwenye nyadhifa kadhaa yamelaaniwa na Jumuiya ya Kimataifa na kufufua wasiwasi mkubwa juu ya usalama wa Mali na kanda nzima ya Sahel.


 



Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...