Search This Blog

Monday, May 31, 2021

Yanga yathibitisha kuachana na Carlinhos

 Kiungo Mshambuliaji wa Kimataifa wa Angola na Klabu ya @yangasc , Carlos Sténio Fernandes do Carmo maarufu kama Carlinhos amevunja Mkataba na Klabu ya Yanga

Uongozi wa Klabu ya Yanga umethibitisha kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na mchezaji Carlinhos kufuatia ombi la mchezaji huyo alilowasilisha kwa uongozi wa Klabu hiyo na baada ya majadiliano na kwa kuzingatia maslahi mapana ya pande zote

Carlinhos alijiunga na Yanga Mwezi Agosti , 2020 akitokea Interclube ya Angola





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...