King of Bongo Flaver Alikiba amezindua na kuachia album yake mpya iitwayo "Only One King" yenye jumla ya ngoma 16 kupitia majukwaa yote ya kuisikiliza / kupakua muziki mtandaoni.
Album hiyo imeshiba collabo za wasanii wenye majina makubwa Afrika kama; @patorankingfire, @blaqdiamond150, @realshinski, @khaligraph_jones, @sautisol na @sarkodie toka Ghana. Wengine ni @iamkingrudy na @iammayorkun ambao tayari wamesikika kwenye ngoma za utangulizi.
Alalikiba ambaye ana miaka zaidi ya 18 kwenye muziki, hii ni album yake ya TATU, ya kwanza ilikuwa ni 'Cinderella', ilitoka mwaka 2006 na ya pili ilikuwa ni 'Ali K 4Real', hii ilitoka mwaka 2009.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment