Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoka katika Ukumbi wa mikutano wa Umoja wa Mataifa UN Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 20,2021, baada ya kushiriki mkutano uliojadili masuala ya Mabadiliko ya Tabia Nchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa nje ya Ukumbi wa mikutano wa Umoja wa Mataifa UN Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 20,2021, baada ya kushiriki mkutano uliojadili masuala ya Mabadiliko ya Tabia Nchi. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula. Kushoto ni Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa New York Marekani Balozi Kennedy Gaston.






No comments:
Post a Comment