Search This Blog

Wednesday, September 29, 2021

Jeshi nchini Guinea latangaza kuandaa rasimu ya katiba mpya



Kundi la Kijeshi lililofanya Mapinduzi limetoa Waraka unaoahidi kurejesha Utawala wa kiraia. Wameeleza kuandika Rasimu ya #Katiba mpya, kufanyika Uchaguzi huru na wa Haki


Hata hivyo, Waraka huo haujaeleza muda ambao hayo yatafanyika. Kwa sasa #Guinea itaongozwa na Taasisi 4 za Serikali ikiwemo Kamati ya Kitaifa ya Maendeleo na Bunge la Mpito



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...