Search This Blog

Monday, September 13, 2021

January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua January Yusuf Makamba (Mb), kuwa Waziri wa Nishati.

Makamba anachukua nafasi ya Dkt. Merdard Matogolo Kalemani (Mb), ambaye uteuzi wake umetenguliwa.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...