Search This Blog

Tuesday, August 10, 2021

Simba kuweka kambi Morocco


 Klabu ya Simba itakwea pipa kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya 2021/22
 

"Morocco ndio nchi ambayo mabingwa wa nchi tutaweka kambi kujiandaa na msimu mpya wa 2021/22" Simba SC

Simba na Yanga zote zitakuwa ndani ya Morocco kujiandaa na msimu mpya wa mashindano ya klabu bingwa na kuliwinda kombe la Ligi Kuu, Simba akitaka kuweka historia ya kunyakuwa kombe hilo mara 5 mfululizo na Yanga wenye hasira ya kulikosa kombe hilo mara 4 mfululizo.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...