Search This Blog

Sunday, August 8, 2021

Rais Samia Suluhu awasili Jijini Dodoma akitokea Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe  08 Agosti,2021 wakati akitokea Jijini Dar es Salaam alikofanya Shughuli mbalimbali za Kitaifa .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kusaili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe  08 Agosti,2021 akitokea Jijini Dar es Salaam.IKULU.
 

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...