Search This Blog
Tuesday, August 24, 2021
Rais Samia awasili Zambia
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Zambia, kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule wa Taifa hilo Hakainde Hichilema.
Sherehe za kuapishwa kwa Rais huyo Mteule wa 7 wa Zambia zinafanyika katika uwanja wa Taifa wa Mashujaa jijini Lusaka.
Marais wengine wanaoshiriki katika sherehe hizo ni pamoja na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, Rais Mokgweetsi Masisi wa Botswana na Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment