Search This Blog

Monday, August 2, 2021

Rais Samia aondoka leo kuelekea Kigali Nchini Rwanda kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Agost 02, 2021 akielekea Kigali Nchini Rwanda kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili kwa mwalio wa Rais Paul Kagame.
 
 


 

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...