Search This Blog

Wednesday, August 11, 2021

Majeshi ya China na Urusi yaanzisha zoezi la pamoja la kijeshi

Vikosi vya jeshi vya China na Urusi vilianza zoezi la pamoja la kijeshi katika Mkoa Uhuru wa Ningxia Huy ulioko kaskazini mwa China.

Kulingana na taarifa za shirika la habari la China Xhinhua, zoezi hilo linalenga kuimarisha uwezo wa operesheni ya pamoja ya nchi hizo mbili katika vita dhidi ya ugaidi.

Wakieleza kwamba zoezi hilo pia linalenga kudumisha amani na utulivu wa kikanda na kimataifa, maafisa wa jeshi la China walisisitiza kuwa ni muhimu kwa maendeleo ya kuaminiana, ushirikiano wa kiutendaji na uratibu kati ya nchi ndani ya mfumo wa ushirikiano wa kimkakati wa China-Urusi katika kipindi kipya. .



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...