Search This Blog

Wednesday, August 11, 2021

Kashfa ya unyanyasaji wa kijinsia wamuondoa ofisini Gavana wa Marekani


Gavana wa Jiji la New York, Andrew Cuomo, ametangaza kujiuzulu ndani ya siku 14 baada ya Uchunguzi kubaini aliwanyanyasa kijinsia Wanawake kadhaa

 
Wanademocrat wenzake akiwemo Rais Joe Biden wamekuwa wakishinikiza Cuomo aachie Madaraka. Gavana Kathy Hachul atachukua nafasi yake na kuwa Mwanamke wa kwanza kuiongoza #NewYork


Cuomo ni Gavana wa tatu wa Jiji hilo kuondoka Madarakani kutokana na skendo



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...