Search This Blog
Monday, August 9, 2021
Baba mbaroni kwa kumuozesha binti yake mwenye wa miaka 11
J eshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mkazi mmoja wa Kijiji cha Emuguru wilayani Same kwa tuhuma za kumuozesha binti yake mwenye umri wa miaka 11.
Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi Simon Maigwa amesema tayari baba huyo alishapokea mahari ya ng’ombe watatu kutoka kwa muoaji.
Kamanda Maigwa amesema kabla ya mtuhumiwa kukamatwa alishafanya sherehe ya kimila tarehe Agosti 7, s2021 nyumbani kwake kumuaga binti huyo kwenda kwa mume wake.
Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limetoa onyo kali kwa watu wenye tabia za kuozesha watoto wadogo chini ya umri wa miaka 18 kwani ni kinyume cha sheria.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment