Search This Blog

Monday, August 9, 2021

Rais wa Irani apata chanjo ya corona


Rais Ebrahim Raisi aliyeapishwa hivi karibuni, amepata chanjo ya COVIran Barekat ambayo ipo katika mchakato wa kuidhinishwa na Shirika la Afya Duniani(WHO)

 
Maambukizi ya COVID19 yameongezeka na Vifo zaidi ya 500 hurekodiwa kila siku



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...