Search This Blog

Wednesday, July 28, 2021

Waziri Mkuu naye apata Chanjo ya corona


Waziri Mkuu wa Jmhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa naye amepata chanjo ya Covid-19, Ikulu Jijini Dar Es Salaam Leo Julai 28, 2021  

"Nipo tayari kuchanjwa leo ili kumuunga mkono Rais Samia na kuwaonesha Watanzania kuwa chanjo za Covid 19 zinazotolewa ni salama".



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...