Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amejiunga na NBA Africa kama mmilikiwa hisa chache.
Atasaidia kuendeleza mipango ya uwajibikaji wa kijamii wa NBA.
NBA Africa imezindua mipango inayolenga kuboresha maisha ya vijana wa Afrika na kuongeza uelewa juu ya unyanyasaji wa kijinsia na kukuza elimu ya wasichana.
Rais Obama atakuwa mshirika mkakati na atatumia fursa hiyo kufadhili mipango ya vijana na uongozi katika wakfu wake barani kote.
NBA ilituma video ya Rais Obama akielezea ushirika wake

No comments:
Post a Comment