Search This Blog

Thursday, July 1, 2021

DC Lushoto aanza kazi,akabidhi mizani ya kupima akina mama wajawazito


Mkuu wa Wilaya ya Lushoto ndugu Kalisti Lazaro leo  ametembelea Kituo cha Afya Mlalo katika Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga na kumkabidhi Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo Dr Mary G Haule Mizani ya Kupimia akina mama Wajawazito na Watoto iliyotolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Improving Tanzania Foundation (ITF) ndugu Henrish Madambo

Pia Mkuu wa Wilaya ya Lushoto alikagua Stoo ya Madawa katika Kituo cha Afya cha Mlalo ili Kujiridhisha na upatikanaji wa Madawa katika kituo hicho cha Afya




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...