Search This Blog

Thursday, June 17, 2021

Wema Sepetu atoa kauli kuhu wanaomsema kuhusu matangazo ya waganga "Msinifuatilie"


 Nyota maarufu wa filamu nchini Wema Sepetu ameomba asifuatiliwe kama ambavyo yeye hamfuatilii mtu.

Wema amesema hayo jana kwa msisitizo akizungumza na waaandishi wa habari kwenye part ya Birthday ya msanii #GigyMoney, hii ni baada watu mbalimbali kumnanga kupita kiasi kufuatia kupost matangazo ya Waganga wa Kienyeji kwenye ukurasa wake wa instagram.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...