Search This Blog

Thursday, June 17, 2021

Queen Latifah kutunukiwa tuzo ya heshima kwenye BET Awards


 Nguli wa muziki na filamu toka nchini Marekani, Queen Latifah kutunukiwa tuzo ya heshima kwenye BET Awards 2021 (Lifetime Achievement Award)

Hii ni kutokana na mchango wake mkubwa kwenye muziki na kukuza utamaduni wa mtu mweusi.

Mshereheshaji wa mwaka huu kwenye tuzo hizo ni Taraji P. Henson na zinatarajiwa kufanyika Juni 27 katika ukumbi wa Microsoft Theater mjini Los Angeles.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...