Search This Blog

Wednesday, June 2, 2021

Rais Samia: Sina uwezo wa kuhesabu matofali kama hayati Magufuli, nawategemea muwe jicho langu


Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Hayati Dkt. John Magufuli alipoenda kukagua miradi alikuwa anahesabu matofali na bati kubaini ubadhirifu

Amesema yeye sio mtu wa 'Construction Engineering' hivyo hana uwezo wa kuhesabu matofali, na anawategemea wateule wake kumsaidia kazi hiyo. Amesema yeye amezoea mambo ya Kiuchumi kuangalia ‘Graphs'



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...