Search This Blog

Wednesday, June 2, 2021

Anna Mghwira alipoteuliwa alisumbuliwa sana, nimemteua Queen Sendinga sitaki litokee tena Iringa- Rais Samia


"Tulipomteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, wakuu wa wilaya kule walimsumbua sana kwa madai kuwa si mmoja wao, Sitaki hili litokee kule Iringa nimemteua Queen Sendinga mwanachama wa ADC,Rais hakosei"- amesema Rais Samia Suluhu Hassan

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...