Search This Blog

Saturday, June 12, 2021

Rais Samia azindua mitambo mipya ya moyo JKCI

 


Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Juni 12, amezindua mitambo mipya ya moyo (Cathlab) katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) mkoani Dar es Salaam.

Taasisi hiyo imeweza kuokoa maisha ya Watanzania 444,848 tangu ianzishwe na imejidhatiti kuwa moja ya taasisi kubwa za kimataifa. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi amemwambia Rais 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...