Search This Blog

Monday, June 21, 2021

Mume aharibu mazao ya mkewe baada ya kukataa kubaki nyumba kwaajili ya siku ya akina baba


Mwanaume mmoja kutoka Kijiji cha Gichugu ameharibu mazao yanayokadiriwa kuwa na thamani ya Ksh. 200,000 (takriban Tsh. Milioni 4.3 ) baada ya Mkewe kukataa kubaki nyumbani kusherehekea Fathers Day

Imeelezwa, alitumia panga kuharibu furushi la ndizi na maparachichi ya Mke wake pamoja na Wafanyabiashara wengine waliokuwa wakijiandaa kuziuza sokoni leo

Mwanaume huyo alitaka Mkewe abaki nyumbani licha ya kwamba anajipatia riziki kwa kuuza matunda Sokoni siku ya Jumapili




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...