Search This Blog

Monday, June 21, 2021

Mbunge aitaka serikali kufuatilia fedha za kwenye mitandao ya simu za wanaofariki


Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema watu wanaofariki na kuacha fedha kwenye mitandao kama TigoPesa, M-Pesa, Airtel Money na nyinginezo wanazinufaisha Kampuni za Mawasiliano huku Serikali ikiwa haipati kitu

Ameishauri Serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hizo na Serikali kunufaika kwa upande mwingine ili Mitandao hiyo isinufaike pekee yake kutokana na fedha nyingi ambazo waliofariki huziacha



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...