Search This Blog

Tuesday, June 22, 2021

Cardi B kuonekana tena kwenye Fast and Furious 10 2022


Ni Headlines za mkali wa Hip Hop Belcalis Marlenis Almánzar maarufu kama Cardi B ambae baada ya kuonekana  Fast and Furious msimu wa tisa sasa habari njema ni kwamba ataonekana tena katika msimu wa 10 inayotarajiwa kuachiwa Mwaka 2022.

Akihojiwa na mtandao maarufu nchini Marekani Vin Diesel alisema hawakutegemea kama Cardi B ataonesha uwezo mkubwa katka Fast and Furious ya msimu wa tisa sasa wamependa husika wake na ujasiri wake kwahiyo mashabiki wa wakae tayari kumuona tena katika msimu mwingine mpya wa Fast & Furious 10 mwaka 2022.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...