Mmiliki wa klabu ya Napoli Aurelio de Laurentiis amethibitisha kumfuta kazi aliye kuwa kocha wa klabu hiyo Gennaro Gattuso kufwatia kumaliza nje ya nafasi 4 za juu katika msimamo wa ligi kuu nchini Italia (Seria A)
Aurelio aliweka wazi kuondoka kwa Gattuso kupitia Twitter baada ya kushindwa kupata nafasi ya kushiriki michuano ya Champions League katika mchezo wao wa mwisho wa Ligi dhidi ya Hellas Verona mchezo uliomalizika kwa Sare
Napoli imealiza katika nafasi ya 5 ikiwa na Point 77 ikishinda michezo 24, ikifungwa mara 9 nakutoka sare katika michezo 5
No comments:
Post a Comment