Mshukiwa mmoja aliwekwa chini ya ulinzi kwa kutaka kumchoma kisu mlinzi wa msikiti katika jimbo la Virginia nchini Marekani.
Kulingana na taarifa kutoka Idara ya Polisi ya Kaunti ya Fairfax, J.L. mwenye umri wa miaka 41 alijaribu kumchoma kisu mlinzi wa msikiti wa Dar Al-Hijrah.
Baada ya tukio hilo ambalo hakuna mtu aliyejeruhiwa, mtuhumiwa alizuiliwa na kufunguliwa mashtaka dhidi yake kwa kukiuka utaratibu wa umma na kuandaa shambulizi.

No comments:
Post a Comment