Search This Blog

Sunday, May 16, 2021

Kikosi cha Simba kurejea leo Bongo

 


BAADA ya ubao wa FNB Soccer City Mei 15 kusoma Kaizer Chiefs 4-0 Simba, wawakilishi wa Tanzania wameweka wazi kwamba watapindua meza kibabe Uwanja wa Mkapa.

Leo kikosi kinatarajiwa kuwasili ardhi ya Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na ule wa marudiano.

Mchezo wa marudiano unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 22.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...