Search This Blog

Wednesday, May 26, 2021

IGP Sirro atoa agizo kwa maafisa na askari

 



Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na maafisa na askari (hawapo Pichani) wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni katika kikao kazi maalum leo tarehe 26/05/2021 ambapo amewaagiza kusimamia sheria za nchi ipasavyo na kuendelea kuwachukulia hatua kali wale wanaojihusisha na vitendo vya kihalifu. Picha na Jeshi la Polisi.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...