Staa wa muziki Barani Afrika SIMBA Diamond Platnumz amechaguliwa kuwania Tuzo katika Tuzo kubwa za Muziki za @betawards Mwaka huu 2021 katika kipengele cha "Best International Act"
Mastaa wengine walioteuliwa kuwa Tuzo katika kipengele hicho ni pamoja na #StarBoy @Wizkidayo, @ayanakamura_officiel, @burnaboygram, @emicida, @HeadieOne, @YoungTandBugsey na @youssouphamusik
Katika Tuzo hizo ambazo zinatolewa Juni 27, Mwaka Huu 2021 Afrika Mashariki inawakiliswa na SIMBA @diamondplatnumz Pekee
No comments:
Post a Comment