Search This Blog

Tuesday, May 25, 2021

Dayna Nyange kaingia studio kurekodi na msanii mkubwa wa Nigeria


Mabibi na Mabwana ni headlines za mkali kutokea Bongo Fleva, Dayna Nyange ambae time hii ataenda kuandika historia mpya kuwa msanii wa kike kutoka Tanzania kufanya collabo na msanii wa Nigeria aitwae Davido.

Dayna kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha na kuwahabarisha mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva kuwa wakae mkao wa EP aliyoipa jina la Elo na ametupatia tarehe rasmi ambayo atatubariki ujio huo ambayo ataachia tarehe 28 mwezi huu.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...