Search This Blog

Wednesday, February 24, 2021

TANZIA : Msanii Waziri Sonyo afariki dunia


Msanii mkongwe wa muziki wa dansi hapa nchini Tanzania Waziri Sonyo amefariki dunia siku ya jana Februari 24, baada ya kutoka kuangalia mechi ya ligi ya mabingwa Africa kati ya Simba na Al Ahly.

Akitoa taarifa za msiba huo, mchambuzi wa muziki Rajab Zomboko ameeleza kuwa 

"Ni kweli amefariki jana, ametoka kuangalia mpira wa Simba alivyofika nyumbani kwake presha ikampanda na wakajaribu kumpepea lakini imeshindikana, msiba upo nyumbani kwake Kibaha Mailimoja, kuhusu mazishi nimeongea na ndugu zake wameniambia watanijulisha"



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...