Sanamu ya mwisho ya Francisco Franco, ambaye alitawala Uhispania chini ya udikteta kwa karibu miaka 40, pia imeondolewa na kuwekwa kwenye hifadhi.
Chini ya Sheria ya Kumbukumbu ya Kihistoria ya Nchi ya 2007, sanamu zote za Franco na mahali penye jina lake vilipaswa kufutwa na kuondolewa.
Katika muktadha huu, hatua ya mwisho imechukuliwa Melilla, Sanamu hiyo, iliuwekwa jijini humo miaka mitatu baada ya kifo cha Franco mnamo 1978, imeodolewa.
Uhispania na makabila ya Morocco yalipigana katika vita vya Rif mnamo 1920.
Sanamu hiyo iliashiria jukumu la Franco, ambaye aliamuru Jeshi la Uhispania wakati huo.

No comments:
Post a Comment