Search This Blog

Thursday, February 25, 2021

Watu wanne watekwa nyara Mali


Watu wanne kutoka kwenye kundi la Madaktari Wasiokuwa na Mipaka (MSF) wametekwa nyara nchini Mali.

Kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya ndani, wafanyikazi 8 wa MSF wanaofanya kazi katika kuanzishwa kwa kliniki katika eneo la ndani la nchi huko Mopti wametekwa nyara na watu wasiojulikana wenye silaha.

Wakati wanawake 4 katika kikundi hicho waliachiliwa, hakuna habari yoyote mpaka hivi sasa kutoka kwa wanaume 4 ambao walitekwa pia.

Mopti imekuwa ikilengwa mara kwa mara na makundi ya kigaidi tangu 2012.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...