Search This Blog

Friday, January 29, 2021

Rayvanny aachia Cover ya Album yake ya Kwanza

 


Staa wa muziki wa Bongo Fleva a.k.a CHUI Rayvanny ameachia Cover rasmi ya Album yake ya Kwanza Sound From Africa ambayo tayari maandalizi yake yamekamilika na huenda ikaachiwa Muda wowote kuanzia sasa

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Rayvanny amepost cover ya albam hiyo na kuandika " My First Album in my Music career , Thanks God For this one ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ #SoundFromAfrica ๐ŸŽผ๐Ÿฅ๐ŸŽผ

Nione comment Yako TUACHIE 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...