Search This Blog

Friday, January 1, 2021

Hatimaye Bernad Membe ajiuzulu ACT Wazalendo


Aliyekuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo na mshauri wa Chama hicho, Bernad Membe, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama hicho.

Akitangaza uamuzi huo leo nyumbani kwake kijijini Rondo Chiponda, halmashauri ya wilaya ya Mtama mkoani Lindi, amesema hajafanya uamuzi huo kwa shinikizo lolote na kwamba kwa sasa atakua mshauri wa masuala mbalimbali yanayoihusu nchi ya Tanzania na kupigania demokrasia ya kweli.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...