Search This Blog

Saturday, January 2, 2021

Tanzia: Mtoto wa Nyerere afariki dunia


Rosemary Nyerere aliyefariki jana jioni jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa wanafamilia aliyejitambulisha kwa jina la Sophia Nyerere ameandika katika mtandao wa Instagram kuwa shangazi yake amefariki.

Manyerere Jacton amethibisha kuwa ndugu yao amefariki.

“Ni kweli dada amefariki jioni hii, lakini taarifa rasmi itatolewa,” amesema Manyerere.

Rosemary alikuwa miongoni mwa watoto saba wa Mwalimu Nyerere.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...