Anayedaiwa kuwa Mtoto wa siri wa Rais wa zamani wa Nchi hiyo, anakabiliwa na kifungo cha miaka 15 baada ya upande wa mashtaka kuomba kifungo hicho kutokana na tuhuma za rushwa na ubadhilifu wa mali
Zoulikha-Chafika Nachinane anayefahamika zaidi kama Madame Maya anakabiliwa na mashtaka ya utakatishaji fedha, matumizi mabaya ya madaraka, matumizi mabaya ya mali ya Umma na kusafirisha kwa njia haramu fedha za kigeni
Upande wa mashtaka umeomba kifungo cha miaka 15 dhidi yake, na miaka 10 dhidi ya binti zake wawili, Imene na Farah
No comments:
Post a Comment