Kocha wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp ametwaa tuzo ya kocha bora wa kiume wa mwaka wa FIFA 2020 , akiwashinda makocha Hans Flick wa Bayern na Marcelo Bielsa wa Leeds United
Klopp ametwaa tuzo hii mara mbili mfululizo
2019
2020
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
No comments:
Post a Comment