Search This Blog

Thursday, December 17, 2020

Mtoto wa Wayne Rooney asaini mkataba wa kujiunga na Manchester United

 


Mtoto wa Wayne Rooney "Kai Rooney", amesaini mkataba wa kujiunga na Manchester United kama mchezaji, akiwa na umri wa miaka 11.

Kai amesaini mkataba huo mbele ya Wayne Rooney (Baba yake) na Mama yake Colleen ( Mke wa Wayne Rooney).



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...