Search This Blog

Friday, November 20, 2020

Pep Guardiola asaini mkataba mpya wa miaka miwili Manchester City

 


Kocha Pep Guardiola amesaini mkataba mpya wa miaka miwili ambao utamfanya abaki kama Meneja wa Manchester City hadi majira ya joto ya mwaka 2023.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 49, ameshinda mataji mawili ya Ligi Kuu, Kombe la FA na matatu za Kombe la Ligi tangu ajiunge mnamo 2016.

Mkataba wa zamani wa meneja huyo wa zamani wa Barcelona na Bayern Munich ulipaswa kumalizika mwishoni mwa msimu huu.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...