Search This Blog

Wednesday, October 28, 2020

Mbeya Mjini: Dkt. Tulia Ackson Atangazwa Mshindi Dhidi Ya ‘Sugu’-



MSIMAMIZI wa uchaguzi Jimbo la Mbeya Mjini leo Oktoba 29, 2020 amemtangaza Tulia Ackson kupitia CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge kwa jimbo hilo, ambaye amepata kura 75,225 na kumshinda aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Joseph Mbilinyi aliyepata kura 37,561



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...