Search This Blog

Wednesday, October 28, 2020

Hai: Mbowe Aangushwa Katika Ubunge na Saashisha Mafuwe wa CCM



Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Hai amemtangaza Saashisha Mafuwe wa CCM kuwa Mshindi wa Ubunge Jimbo hilo kwa kupata kura 89,786

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Freeman Mbowe (CHADEMA) amepata kura 27,684 katika nafasi ya 2. Mbaruku Mhina (ACT) mwenye kura 315 ameshika nafasi ya 3.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...