Search This Blog

Tuesday, October 6, 2020

Kauli ya Kwanza ya Zitto Kabwe Baada ya Kupata Ajali Mbaya ya Gari




Baada ya kupata ajali siku ya jana mkoani Kigoma katika Jimbo la Kigoma Kusini alipokwenda kwa ajili ya mkutano wa kampeni, Kiongozi Mkuu wa Chama Cha ACT WAZALENDO, Zitto Kabwe anaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu.



 

 




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...