Idadi ya watu ambao wamefariki katika mafuriko yaliotokea nchini Korea Kusini imeripotiwa kuongezeka na kufikia watu 42.
Kulingana na taarifa ambazo zimetolewa na kituo cha habari cha Yonhap korea Kusini zimefahamisha kuwa wizara ya mambo ya ndani na idara ya usalama imefahamisha kuwa watu zaidi 6000 wameondolewa katika majumba yao katika eneo hilo na kupelekwa katika eneo salama ambalo limeandaliwa kwa ajili ya waathirika wa mafuriko hayo.
Mvua zimenyesha katika miji tofauti ikiwemo mjini Seul nchini humo.

No comments:
Post a Comment