Muigizaji huyo mwenye umri wa miaka 60 ameandika katika ukurasa wake wa Twitter kwamba amegunduliwa kuwa na maambukizi na anaendelea vema baada ya kujitenga ili kuzuia maambukizi kwa watu wake wa karibu.
Katika ujumbe wake huo aliotoa katika ukurasa wake wa Twitter,Banderas amesema kuwa kwa sasa anajisikia vema licha ya mchoko aliokuwa nao na ana imani kuwa atakuwa na afya njema baada ya kupatiwa matibabu.

No comments:
Post a Comment