Search This Blog

Monday, July 20, 2020

Sospeter Muhongo apita Jimbo la Musoma Vijijni


Jumla ya wagombea ubunge 35 waliopigiwa kura za maoni jimbo la Musoma vijijini aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Profesa Sospeter Muhongo ameongoza kwa kura 591 huku anayefuta Ndg Joseph Nyamalege akipata kura 50

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...