Na Faruku Ngonyani, Mtwara
Matokeo ya kura za maoni kwa Jimbo la Mtwara Mjini limekamilika kwa Judith Nguli kushika nafasi ya kwanza kwa kupata kura 126 zilizopigwa na wajumbe wa kata 18 zilizopo Manispaa Mtwara Mikindni.
Nafasi ya pili imeshikwa na Hassani Mtenga kwa kupata kura 94 na nafasi ya Tatu imeshkwa na Mussa Chimae kwa kupata kura 86 zilzopigwa na wajumbe hao kwa kata 18.
Akitangaza matokeo Katibu wa Waazazi Mkoa wa Mtwara Ndg Ibrahim Issa Ndoro amesema kuwa kwa matokeo hayo hayajamtangaza Judith kuwa ndiye Mgombea wa Ubunge bali ametangazwa mtu aliyeongoza kwa kura kutoka kwa wajumbe.
Aidha amesema kuwa mchakato wa kuchujwa wanachama hao bado utaendeleo kwa Kamati ya Siasa ya Wialaya ,Mkoa na Hatimae ngazi ya Kitaifa ambapon itamtoa atakaechaguliwa kupeperusha bendera ya Ubunge kwa Chama cha Mapinduzi kwa Jimbo la Mtwara Mjini.
Jumla kura 456 zilizopigwa na wajumbe huku kura 11 zilihrbika wakati na jumla ya wanachama 48 wanaowanaia
No comments:
Post a Comment