Search This Blog

Monday, July 20, 2020

Oska Mkasa ashindwa kutetea kiti chake jimbo la Biharamulo Kagera



Na Clavery Christian Biharamulo Kagera.

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Biaharamulo ameshindwa kutetea kiti chake vizuri kwenye kura za maoni baada ya kupata kura 8 kati ya kura zote zilizopigwa na kushindwa kuingia hata tatu bora ya wagombea waliotiania ya kupeperusha bendera ya chama hicho katika ubunge wa jimbo hilo.

Na bw, Erasius M Sebuyoya akiibuka na kura 194 na aliyemfata nyuma Ezra John Chileweza akipata kura 113 huku Ziyuni Husseni Hamis akiibuka na kura 40.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...