Search This Blog

Tuesday, July 14, 2020

Jesca Kishoa ashinda kura za maoni za Ubunge jimbo la Iramba kupitia CHADEMA


Mshindi wa uchaguzi kwenye kura za maoni za Ubunge CHADEMA Iramba ni Jesca Kishoa, Jesca alikuwa Mgombea pekee na alihitaji tu kura za Ndio au Hapana, kwenye kura 136 zilizopigwa, kura za Ndio ni 134 (98%), zilizoharibika ni 2 na hakuna kura ya Hapana.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...